Sunday, January 28, 2018

HATUA ZA KUWASHAJIHISHA WANAFUNZI

Mwalimu ninlazima afanye hatua mbali mbali katika kuwashajihisha wanafunzi wake .miongoni mwa hatua hizo ni kama zifuatazo;
. kuwsashirikisha katika mada   soma zaidi
.kuwapa kazi ndogondogo.



.


Sunday, January 14, 2018

PICHA INAYOOONESHA WANAFUNZI MBALIMBALI KATIKA MCHAKATO WA KUTAFUTA ELIMU




HATUA ZA KUWASAIDIA WANAFUNZI

Walimu hawana budi kuwasaidia wanafunzi katika mchakato mzima wa kusoma kupitia hatuaa mbalimbali

  • kukaa nao karibu
  • kuwapa ushauri
  • kuwasasidia wakati wanapopatwa na matatizo
  • kuwanasihsoma zaidi




Walimu hawana budi kuwashajihisha wanafunzi wakati wanapopatwa na matatizo kulikoni kuwakatisha tamaa kwa maneno makali na kejeli kwana wasomi wanasemaTEACHING LIKE FISHING Kwa maana kufundisha ni mbinu sio tu kujua kusoma  lakini mwalimu lazima awe na mbinu mbali mbali za kuwasaidia wanafunzi wake wanapopatwa na matatizo au kabla ya matatizo

CHANGAMOTO WANAZOPATA WANAFUNZI KATIKA KUTAFUTA ELIMU