Sunday, January 14, 2018

Walimu hawana budi kuwashajihisha wanafunzi wakati wanapopatwa na matatizo kulikoni kuwakatisha tamaa kwa maneno makali na kejeli kwana wasomi wanasemaTEACHING LIKE FISHING Kwa maana kufundisha ni mbinu sio tu kujua kusoma  lakini mwalimu lazima awe na mbinu mbali mbali za kuwasaidia wanafunzi wake wanapopatwa na matatizo au kabla ya matatizo

No comments:

Post a Comment